Hamkani, hali ya mambo haijatulia kuhusu kodi, baada ya mkanganyiko kujitokeza kuhusiana na tozo mbalimbali kufanyiwa mabadiliko na Bunge lililomalizika.
Tayari kauli ya Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alphayo Kidata dhidi ya benki zinazotaka kutoza Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwa wateja wao, imeibua mjadala na watalaamu wa biashara na uchumi wamezungumza.
No comments:
Post a Comment