Thursday, 16 June 2016

Miundo mbinu chakavu ya maji yasababisha ukosefu wa maji


UHARIBIFU wa chanzo cha maji na uchakavu wa miundombinu  imechangia kwa kiasi kikubwa kukosekana kwa huduma ya maji kwa wakazi wa kijiji cha Mtanga Kata ya Ziwani kwenye halmashauri ya wilaya ya Kigoma Vijijini.
Ni takribani miaka mitatu sasa tangu miundombinu ya mradi wa maji katika kijiji cha mtanga  ilivyoharibika ambapo wakazi zaidi ya 6000 maisha yao yakiwa hatarini kutokana na kutumia maji ambayo sio salama kwa afya zao.
Kwa muda mrefu serikali imekuwa ikifumbia macho kadhia hiyo je ni ipi mikakati ya serikali ili kunusuru afya za wakazi wanaioshi katika kijiji hicho.

No comments:

Post a Comment