Friday, 1 July 2016

Wakenya wapanga foleni kulipa Ushuru

Mamlaka ya ushuru nchini Kenya, KRA, ilitangaza siku ya Alhamisi kwamba haikudhamiria kuongeza muda uliowekwa kwa Wakenya kulipa ushuru kupitia mfumo mpya wa komyuta ili kurahisisha ulipaji kodi na ushuru, maarufu kama i-tax.

Wakenya wengi walionekana wakipanga foleni ndefu katika afisi za mamlaka hiyo kwenye miji tofauti tofauti nchini humo.

No comments:

Post a Comment