Sunday, 3 July 2016

Serikali yauongezea muda wa kuchimba mgodi wa STAMIGO

Serikali imesitisha uamzi wake wa kufunga mwaka huu mgodi wa Stamigold unaomilikiwa na Shirika la madini la Taifa (STAMICO ) ulioko wilayani Biharamulo mkoani Kagera kama ilivyokusudia hapo awali kutokana na sababu mbalimbali ambazo ni pamoja na kupungua kwa kiwango cha upatikanaji wa madini aina ya dhahabu katika maeneo ya mgodi huo badala yake imeuongezea mgodi huo muda wa uchimbaji madini hayo hadi mwaka 2018.

No comments:

Post a Comment