Saturday, 18 June 2016

Mlemavu wa macho awafundisha wenzake


Bi Fama Ka huishi Pikine Dakar, Senegal ambaye hana uwezo wa kuona. Amekuwa akiwafundisha watu wasioona kutumia Braille bila malipo.
”Watu walizoea kuamini kwamba wasioweza kuona wanafaa kusalia nyumbani au kuwa ombaomba. Wanafikiria wasioweza kuona wanafaa kuombaomba. Hatukubali hilo tena,” anasema.

No comments:

Post a Comment