Thursday, 16 June 2016

Pistorius atembea mahakamani bila miguu bandia

Mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amefikishwa  mahamani bila y miguu yake ya bandia, wakati wa kusikilizw kwa kesi mauaji inayomkabili.

No comments:

Post a Comment